Mbunge adai kwamba kitendo cha Kumnyima mwanamume tendo la ndoa ni dhuluma
Che Mohamad Zulkifly Jusoh kutoka chama tawala cha Barisan Nasional, alikuwa akizungumza wakati wa mjadala wa bunge kuhusu dhuluma za nyumbani.
Malaysia iko katika mikakati ya kufanyia sheria marekebisho kutatua dhuluma za nyumbani.
Mbunge huyo mwenye umri wa miaka 58 kutoka jimbo la Terengganu, alisema kuwa wanaume wanapitia kwa asilimia kubwa dhuluma za kisaikolojia kuliko zile za kimwili.

"Licha ya wanaume kuwa wenye nguvu kuliko wanawake, wanawake huwadhulumu katika masuala kama haya kwa njia iliyo ya kuumiza," alisema Jusoh.
Pia ni halali nchini Malaysia, nchi yenye waisilamu wengi kwa wanaume kuoa hadi wake wanne ikiwa watapata idhini kutoka kwa mahakama za sharia.
Bwana Che aliliambia bunge kuwa kumyima mwanamume muislamu haki ya kuao mke wa pili ni sawa na kumdhulumu.
Mbunge adai kwamba kitendo cha Kumnyima mwanamume tendo la ndoa ni dhuluma
Reviewed by Zero Degree
on
7/27/2017 05:30:00 PM
Rating: