Loading...

Rais Magufuli amemteua Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

Dkt John Pombe Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).


Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Uteuzi wa Bw. Waziri Waziri Kindamba umeanza tarehe 04 Julai, 2017.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Waziri Waziri Kindamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Rais Magufuli amemteua Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Rais Magufuli amemteua Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Reviewed by Zero Degree on 7/06/2017 10:03:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.