Loading...

Samatta aanza msimu mpya kwa kutupia


KRC Genk imepata sare ya mabao 3-3 ikiwa nyumbani dhidi ya wageni Waasland-Beveren.


Mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta amefunga bao la pili ambalo lilikuwa la kusawazisha.

Wageni Waasland-Beveren walipata mabao mawili ya harakaharaka na kuongoza kwa 2-0.

Lakini Genk ilisawazisha kupitia Naranjo kabla ya Samatta kufunga la pili na Leandro Trossard kufunga la tatu lakini wageni wakakomaa na kusawazisha katika dakika ya 90 kupitia Zinho Gano.

Samatta aanza msimu mpya kwa kutupia Samatta aanza msimu mpya kwa kutupia Reviewed by Zero Degree on 7/30/2017 08:01:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.