Bodi ya Mikopo [HESLB] yaongeza muda wa uombaji mikopo
Mkurugenzi Mkuu wa HESLB, Abdul-Razaq Badru |
Hatua hiyo imeelezwa inalenga kutoa nafasi kwa wanafunzi walioshindwa kufuata masharti kuyakamilisha. Mkurugenzi Mkuu wa bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema muda huo umeongezwa hadi Septemba 11badala ya Septemba 4.
Amesema hadi kufikia jana Agosti 29, wanafunzi waliojitokeza walikuwa 49,282 lakini ni 15,473 waliokamilisha maombi kwa njia ya mtandao.
“Tumesogeza mbele kwa siku saba zaidi ili walioshindwa kufuata vigezo wakati wa kujaza fomu wafanye hivyo,” amesema.
Amesema hadi kufikia jana Agosti 29, wanafunzi waliojitokeza walikuwa 49,282 lakini ni 15,473 waliokamilisha maombi kwa njia ya mtandao.
Bodi ya Mikopo [HESLB] yaongeza muda wa uombaji mikopo
Reviewed by Zero Degree
on
8/31/2017 12:31:00 AM
Rating: