Loading...

Mitihani ya taifa katika vyuo vya Afya nchini yaahirishwa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally.
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 kupisha sikukuu Eid Alhaj.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini sekta ya Afya inasema kuwa mitihani ambayo ilipaswa kufanyika siku ya Septemba 1, 2017 ndiyo itakayoahirishwa na kudai mitihani mingine itaendelea kama kawaida.

Mitihani ya taifa katika vyuo vya Afya nchini yaahirishwa Mitihani ya taifa katika vyuo vya Afya nchini yaahirishwa Reviewed by Zero Degree on 8/31/2017 12:25:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.