Loading...

Breaking News: Simba imetangaza kumfuta uongozi na kumsimamisha uanachama Mzee Kilomoni

Aliyekuwa mdhamini wa Simba, Hamisi Kilomani
Klabu ya Simba imetangaza kumtoa mzee Hamisi Kilomoni kwenye Baraza la Wadhamini kwa kosa la kuvunja katiba ya klabu hiyo.

Pia, wanatarajia kumpekelea barua ya kumfuta uanachama na ikiwa hatafuta kesi na kushindwa kujitetea watamfukuza uanachama moja kwa moja.

Aidha, profesa Juma Kapuya ameteuliwa kuziba pengo la Ally Sykes ambaye kwa sasa ni marehemu katika baraza hilo, nafasi ya mzee Kilomoni imejazwa na Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaj Adam Mgoyi.
Breaking News: Simba imetangaza kumfuta uongozi na kumsimamisha uanachama Mzee Kilomoni Breaking News: Simba imetangaza kumfuta uongozi na kumsimamisha uanachama Mzee Kilomoni Reviewed by Zero Degree on 8/13/2017 04:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.