Loading...

Chanzo cha moto katika soko la SIDO Jijini Mbeya chabainika


Kamati iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza Soko la SIDO Jijini Mbeya imekabidhi ripoti yake leo ikionyesha chanzo cha moto huo ni jiko la Mkaa ndani ya kibanda cha mama lishe.

Ripoti hiyo imebaini hasara iliyosababishwa na moto huo ni zaidi ya Tshs Bilioni 14.

Mkuu wa Mkoa Amos Makala atangaza eneo hilo rasmi kuwa Soko la kudumu, aagiza iwekwe miundombinu ya kudumu kwa kuzingatia tahadhari ya moto.
Chanzo cha moto katika soko la SIDO Jijini Mbeya chabainika Chanzo cha moto katika soko la SIDO Jijini Mbeya chabainika Reviewed by Zero Degree on 8/24/2017 04:09:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.