Loading...

Cristiano Ronaldo ndiye mwanasoka bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya [UEFA] msimu wa 2016/17


Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Uefa Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.


Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.

Hata hivyo ilionekana tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.
Cristiano Ronaldo ndiye mwanasoka bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya [UEFA] msimu wa 2016/17 Cristiano Ronaldo ndiye mwanasoka bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya [UEFA] msimu wa 2016/17 Reviewed by Zero Degree on 8/25/2017 12:11:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.