Loading...

Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 19


MTUNZI: MC Short Charles Gwimo

Ilipoishia.........Ndugu msomaji wangu, hata uwe mkali vipi, kwenye mapenzi misimamo na ukali huwa inayeyuka. Nasema hivyo kwa sababu, kwa jinsi madam huyo alivyonikomalia awali, nisingetegemea kama hapo kitandani mkono wake ungeonesha ishara ya shikamoo kwa kunishika kichwa kila mara. Nilimnyenyua staili ya kiuno kata ili tumalize kwa pamoja. Madam alianza kugeuza macho kana kwamba anataka kukata roho kitendo kilichoniogofya sana. Alipofikia hatua hiyo alining’ang’ania kwa nguvu tukamaliza kwa pamoja huku yeye akiwa hoi bini taabani kwa ushindi wa bao mbili kwa moja.

Endelea nayo: Kumalizika kwa mechi baina yangu na madam kulinifanya niufungue ukurasa mpya wa mapenzi kwa kuandika yaliyojiri kati ya mwalimu na mwanafunzi wake. Nilijiona kama shujaa mdogo niliyemteeketeza adui kwa mbinu na mitego yake mwenyewe. Ushindi wa bao mbili kwa moja kwa timu maarufu kwa hakika sio wa kubeza kwenye tasnia ya mapenzi. Niliutengeneza uso wa masikitiko ili kumpumbaza madam aone kama niko ninakijutia kitendo alichonilazimisha kumfanyia kumbe moyo wangu wote umegubikwa na furaha isiyo na kifani kwa kuusanifu mwili wa madam bila kipingamizi na kumuweka kwenye kiganja cha mkono wangu. Hayo ndiyo mapenzi ndugu yangu, hayanywewi kwenye maji wala hayachimbwi kama mihogo. Kwa wengine huleta raha, na kwa wengine husababisha karaha kwa watu kujiona hawana thamani mbele ya wenzao. Usiombe yakakufumania mapenzi, kwani hata siri zako za muda ulizojihifadhia utaziweka hewani kama vile mkondo wa umeme uliowashwa kutoka kwenye transfoma.

**********

Ndugu msomaji wangu, siku zote neno mapenzi halina shujaa maalum katika uwanja wa mapambano kwani ujasiri na ngebe za madam zilishushwa na kijana mdogo kama mimi tena kwa ufundi stadi kitendo ambacho kilinifanya nizawadiwe zawadi ya ushindi kwa kulipasua jipu la madam badala ya kijipu uchungu. Hapo ndipo nilipogundua kuwa ni kwanini hata shujaa wa vita nao kwenye mapenzi huomba po! Hii ilinikumbusha jinsi kijana mdogo aliyejulikana kwa jina la “Daudi” kushindwa kujizuia kwa vita ndogo ya mke wa Uria ingawa aliweza kumtoa uhai shujaa Goliath kwa jiwe moja tu ndani ya kombeo.


**********

Madam alijikongoja kwa aibu kuja maeneo niliyokuwa nimekaa akidhania kitendo kile kiliniudhi. Kwa kuwa niliapa kumtunzia siri hiyo aliyonikabidhi nimtunzie, niliamua kuonyesha tabasamu ili nimrudishe kwenye uchangamfu wake wa siku zote ili isionekane kama tulikuwa kwenye ugomvi mkubwa. Nilimvuta madam aje kukaa karibu yangu naye akasogea bila mgomo wowote huku akijiangalizisha pembeni kama vile kitendo kile nilimfanyia kwa kumbaka, kumbe yeye ndiye niliyemuhesabu kama mbakaji wangu kwa kunilazimisha kufanya naye kitendo hicho huku nikiwa na umri wa miaka kumi na saba ya kuzaliwa na yeye ishirini na nne. Licha ya kunizidi umri huo pia alivunja kanuni za maadili ya kazi ya ualimu yanayomkataza mwalimu wa kike au wa kiume kushiriki tendo la ndoa na mwanafunzi wake.


**********

Madam alikaa karibu yangu na mimi nikawa wa kwanza kuukata ukimya uliokuwa umedumu kwa takribani dakika kama kumi na mbili ivi. “Madam wangu mpendwa, nafahamu wazi kuwa, mapenzi siku zote hayana macho ila huwa yana uchaguzi, binafsi sikutegemea kama leo ningekuwa juu ya kifua chako nikichezea chuchu zenye mvuto wa ajabu zisizo na mfano mithili ya kigori wa miaka kumi na nne. Ninajua kuwa, umenionjesha utamu wa asali ili hali sina pesa ya kuchongea mzinga na pori la kuhifadhia mzinga huo. Ninakuomba usiniweke pembeni wakati asali umenilambisha mwenyewe, endapo utampata mwingine zaidi yangu. Kikubwa ni kwamba, endapo utampata mwingine au una mwingine basi hata mimi ninakuomba uwe unaniweka kwenye ratiba zako hata nikiwa ni yule wa mwisho mwisho hiyo isikukondeshe kwani kitu hicho ulichozawadiwa na Mwenyezi Mungu huwa hakiwi makombo wala kiporo kwa wanaume wote duniani na hivyo mimi siwezi kuwa wa kwanza kukila.”


**********

Nilipomaliza risala yangu ya kitoto kulilia mapenzi kwa mkubwa, madam alianza kunibembeleza kwa maneno matamu yaliyokuwa hayana hata chembe ya mikwaruzo ndani ya ngome ya masikio yangu. “David asali wa moyo wangu, kwa upande wangu ninakuhakikishia kuwa, kuanzia sasa utakuwa ni mwandani wangu katika shughuli zangu zote za kimaendeleao, kila kitu utakipata kutoka kwangu, kuanzia mapenzi hadi pesa za matumizi. Sikuamini kwa mchaka mchaka ulionipa hadi kidumu changu kutoboka mara mbili huku wewe ukiwa kwenye msuguano kwa mwendo ule ule. Naomba nikupe pongezi kwa kuyaweza mambo bila kupapasa papasa kama vile wafanyavyo majogoo. Kuanzia leo, nikikuona na hivyo vishindia ‘gaguro’ moja utanitambua mimi ni nani kwa wivu nilionao. Kama sijawamwagia maji ya moto basi nitawamwagia tindikali ili iwatoboe macho yao wasikuone Devi wangu.” Tuliangua vicheko kwa pamoja kama wapenzi wa siku nyingi tulioshibana na tuko kwenye hatua za mwisho za kuoana huku tukisahau ya kuwa maeneo tuliyopo sio mazingira rafiki kwa maongezi yetu kwani tulikuwa bado tuko ofisini mwake.


**********

Madam aliufungua mlango wa ofisi ili uonekane kuwa wazi kwa lengo la kuwasubiri wanafunzi waliokuwa na shida mbalimbali hasa wa jinsia ya kike kama mlezi wao wa mambo ya faragha. Kabla ya kuufungua mlango huo, alinituma chumba cha pili nikamletee pochi yake iliyokuwa juu ya meza za dawa za huduma ya kwanza. Niliifuata pochi yake kisha nikamletea. Alinionesha kwa ishara niifungue zipu ya pochi hiyo. Aliniomba nichomoe kitambaa cha kufutia mabaki ya uchafu kwenye nyeti yake kijulikanacho kwa jina la “MLEMBE” ili nimfute. Nilimfuta huku mkono wangu nikiukosesha adabu makusudi kwa kukitomasa tomasa kitumbua cha madamu kama kinyozi anavyo kitembelea kichwa cha mteja wake bila masharti magumu.


**********

Nilimkausha vizuri kabisa lakini hakupenda niutoe mkono wangu maeneo hayo bali alizidi kunionesha ushirikiano mficho wa kupanda na kushuka kwa mwili wake kama piston ndani ya silinda au kwenye injini muwako. Niliikamata nguo ya madamu, na kuanza kumvalisha huku akiwa amenishika kichwa kama mtoto mdogo asalimiavyo wakubwa. Nilimvalisha taratibu ili niendelee kuyavinjari mapaja teketeke yenye ujazo maridhawa ya madam huyo aliyegeuka kuwa mahabuba wangu. Nilisimama vizuri mara baada ya kumaliza kumvika vizuri nguo zake iliyomkamata vilivyo mawowo yake kwa kutengeneza mahipsi mchongo na kuuonesha muonekano wake wa asili kuwa mzuri zaidi. Nilimsogelea kisha tukaanza kunyonyana ndimi zetu ili tuagane kwa kuepuka kukutwa na wanafunzi waliokuwa na shida kwa madamu. Zoezi lilipokuwa linaelekea kufikia tamati, tulishituliwa kwa sauti ya mlango, ngo! ngo! ngo! ngooo! hodi! hodi! nilijichomoa kutoka mikononi mwa madam na kuchanja mbuga hadi chumba cha huduma ya kwanza ili nijifiche kuepuka kufumaniwa na wanafunzi au walimu ndani ya FUMANIZI LA MAPENZI kati yangu na Madam Linda.

====>>Itaendelea Jumatatu...

Usiikose SEHEMU YA 20>>> ya Riwaya hii ifikapo siku ya Jumatatu wiki ijayo, na utaipata hapa Zero Degree pekee.
Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 19 Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 19 Reviewed by Zero Degree on 8/04/2017 10:59:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.