Loading...

Hatimaye Niyonzima ameanza mazoezi na Simba SC


Hatimaye kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi rasmi na kikosi chake kipya cha Simba.


Niyonzima ameanza mazoezi leo kwenye Uwanja wa Boko ambako Simba inajifua kabla ya Tamasha la Simba Day, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hatimaye Niyonzima ameanza mazoezi na Simba SC Hatimaye Niyonzima ameanza mazoezi na Simba SC Reviewed by Zero Degree on 8/07/2017 01:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.