Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi milioni 300
Hii inatokana na deni la kodi ya Majengo la Sh milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa na Serikali.
Siku ya mnada imepangwa kuwa Agosti 19 yaani keshokutwa kuanzia saa 4 asubuhi na Msolopa Investment ndiyo itakayohusika na mnada huo.
Hali hiyo inaonekana kuwashitua mashabiki wengi wa Yanga.
Juhudi za kuwapata viongozi wa Yanga zimekuwa ngumu kwa kuwa wengi hawakuwa wakipokea simu
Jengo la Yanga kupigwa mnada kutokana na deni la shilingi milioni 300
Reviewed by Zero Degree
on
8/17/2017 07:46:00 PM
Rating: