Loading...

Orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017


Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limetangaza majina ya makocha kumi watakaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017.


Katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo makocha kutoka ligi kuu England (EPL) wameongoza kwa kutajwa kwa majina manne, Ligi kuu ya Hispania (La Liga) Hispania majina matatu, Ligi kuu Ujerumani (Bundesliga) imetoa majina mawili huku Ufaransa na Italia ikitoa jina moja moja.
  1. Massimiliano Allegri-Juventus
  2. Carlo Ancelotti-Bayern Munich
  3. Antonio Conte-Chelsea
  4. Luis Enrique-Hispania
  5. Pep Guardiola-Manchester City
  6. Leonardo Jardim-AS Monaco
  7. Joachim Low-Ujerumani
  8. José Mourinho-Manchester United
  9. Mauricio Pochettino
  10. Diego Simeone-Atletico Madrid
  11. Tite-Brazil
  12. Zinédine Zidane-Real Madrid
Upigaji kura unaanza Agosti 21 na kufungwa Septemba 7 mwaka huu, kura zitapigwa na Makocha wa timu za Taifa, Manahodha, baadhi ya Wawakilishi kutoka vyombo vya Habari mbalimbali vitakavyoteuliwa pamoja na Mashabiki kwa Mujibu wa FIFA.
Orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017 Orodha ya makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka 2017 Reviewed by Zero Degree on 8/17/2017 08:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.