Loading...

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu mpya wa NHIF


Rais John Magufuli amemteua, Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Bernard Konga
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Konga umeanza Agosti 9, 2017.

Kabla ya uteuzi huo Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu mpya wa NHIF Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu mpya wa NHIF Reviewed by Zero Degree on 8/12/2017 06:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.