Loading...

Uingereza yatoa msaada wa dola Milioni 450 Tanzania


Uingereza imetoa msaada wa dola za Marekani Milioni 450 sawa na takribani shilingi Trilioni 1 za Tanzania kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.

Taarifa kamili iko hapo chini:


Uingereza yatoa msaada wa dola Milioni 450 Tanzania Uingereza yatoa msaada wa dola Milioni 450 Tanzania Reviewed by Zero Degree on 8/24/2017 12:31:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.