Loading...

Video: Tazama ngoma mpya ya Roma - 'Zimbabwe'


Mwanaharakati, Roma mkatoliki ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Zimbabwe'. Wimbo huo umeandaliwa na Studio za Tongwe na kuongozwa na 'NICKLASS'. Tazama ngoma hiyo kisha usisahau kuacha maoni yako endapo utaguswa na kazi ya Roma kwa namna yoyote ile.

Video: Tazama ngoma mpya ya Roma - 'Zimbabwe' Video: Tazama ngoma mpya ya Roma - 'Zimbabwe' Reviewed by Zero Degree on 8/11/2017 09:14:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.