Loading...

Video: Tazama wimbo mpya wa Alikiba - 'Seduce Me'


Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye mkali wa Bongo Fleva, Alikiba ameiachia video mpya ya ngoma yake mpya ya “Seduce Me”.

Alikiba ambaye ni mkurugenzi na sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Rockstar4000 Music Entertainment and Rockstar Television inayojishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastaa tofauti kutoka nchi mbalimbali ameachia Video yake leo Agosti 25, 2017. Itazame hapa chini:

Video: Tazama wimbo mpya wa Alikiba - 'Seduce Me' Video: Tazama wimbo mpya wa Alikiba - 'Seduce Me' Reviewed by Zero Degree on 8/25/2017 04:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.