Loading...

Yaliyojiri mahakamni leo kwenye kesi ya Wema Sepetu kuhusu vielelezo vya bangi

Wema Sepetu akiwa mahakamani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeiahirisha tena kesi inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na wenzake wawili kwa madai ya kuwa haijakamilisha kuandaa uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha msokoto na vipisi vya bangi.

Akizungumza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar wakati kesi ikiunguruma, Hakimu Thomas Simba amewaambia mawakili wa serikali na utetezi kuwa hajamaliza kuandaa uamuzi huo kutokana na kazi nyingi kumkabili na hivyo akaiahirisha kesi hiyo hadi Agosti 31 mwaka huu kwa ajili ya kutoa uamuzi pia alisema Septemba 12 na 13 itaanza kusikilizwa.
Yaliyojiri mahakamni leo kwenye kesi ya Wema Sepetu kuhusu vielelezo vya bangi Yaliyojiri mahakamni leo kwenye kesi ya Wema Sepetu kuhusu vielelezo vya bangi Reviewed by Zero Degree on 8/18/2017 08:34:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.