Loading...

Yanga yakabidhiwa rasmi jezi zake na Kampuni ya SportPesa


Hatimaye Yanga wamekabishiwa jezi zao za msimu ujao na wadhamini wao SportPesa.


Yanga ilicharuka baada ya jezi zao kukabidhiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara.

Lakini leo, Yanga wamekabidhiwa jezi hizo na Abbas Tarimba, mmoja wa Wakurugenzi wa Sportpesa.

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga, Salum Mkemi ndiye aliyepokea jezi hizo.
Yanga yakabidhiwa rasmi jezi zake na Kampuni ya SportPesa Yanga yakabidhiwa rasmi jezi zake na Kampuni ya SportPesa Reviewed by Zero Degree on 8/05/2017 08:04:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.