Loading...

Hatimaye Diego Simeone ameongeza mkataba wa miaka miwili Atletico Madrid

Diego Simeone
Kocha mkuu wa klabu ya Atletico Madrid, Muargentina Diego Simeone maarufu kama ‘Cholo’ amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo wa miaka miwili hadi mwaka 2020.

Diego Simeone (49) ambaye kulikuwa na tetesi za kuihama klabu hiyo kwenda kukimbilia Ligi kuu England.

Taarifa hizo zimethibitishwa na klabu hiyo kupitia kwenye mtandao wa Klabu hiyo Atletico Madrid ambapo mkataba huo utamfanya asalie klabuni hapo hadi june 2020.
Hatimaye Diego Simeone ameongeza mkataba wa miaka miwili Atletico Madrid Hatimaye Diego Simeone ameongeza mkataba wa miaka miwili Atletico Madrid Reviewed by Zero Degree on 9/06/2017 12:28:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.