Loading...

Kylian Mbappe atua rasmi PSG kwa mkopo


Kylian Mnappe amejiunga rasmi na klabu ya Paris St Germain kwa mkopo akitokea Monaco.

Mkubaliano yao yatafika kikomo katika majira ya joto mwakani na wakati huo huo, Chelsea, Liverpool na Arsenal walikuwa katika kinyang'anyiro cha kusaka saini ya nyota huyo.

Hata hivyo, Kylian Mbappe amechagua kujiunga na Paris St Germain akitokea Monaco, na klabu hizo mbili tayari zimetoa ripoti ya tukio hilo.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18 raia wa Ufa
ransa amejiunga na PSG kwa mkopo na mkataba utakaoiwezesha PSG kumnunua moja kwa moja katika majira ya joto mwakani.

Makubaliano hayo yanamefikiwa masaa machache kabla ya mechi ya kufuzu kucheza kombe la dunia kati ya Ufaransa na Holland, unafunga mjadala wa usajili ambao umekuwa masikoni mwa watu kwa muda mrefu sana.
Kylian Mbappe atua rasmi PSG kwa mkopo Kylian Mbappe atua rasmi PSG kwa mkopo Reviewed by Zero Degree on 9/01/2017 12:31:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.