'Masogange ana kesi ya kujibu kwa kudaiwa kutumia dawa za kulevya'
Agnes Gerald ‘Masogange' aliyevaa gauni la kijani aikitoka mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili |
Kesi hiyo ambayo imeunguruma leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, amesema kuwa amekubaliana na hoja za ushahidi wa upande wa mashtaka ambapo mshtakiwa amekutwa na kesi ya kujibu na hivyo ana haki ya kujitetea.
Baada ya kauli ya hakimu huyo, Masogange amesema atajitetea kwa njia ya kiapo na atakuwa na mashahidi watatu. Hakimu Mashauri ameiahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 12, mwaka huu ambapo mtuhumiwa ataanza kujitetea.
Baada ya kauli ya hakimu huyo, Masogange amesema atajitetea kwa njia ya kiapo na atakuwa na mashahidi watatu. Hakimu Mashauri ameiahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 12, mwaka huu ambapo mtuhumiwa ataanza kujitetea.
'Masogange ana kesi ya kujibu kwa kudaiwa kutumia dawa za kulevya'
Reviewed by Zero Degree
on
9/01/2017 12:36:00 AM
Rating: