Loading...

Maafisa waliozembea zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wasimamishwa kazi


Serikali kupitia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imewasimamisha kazi Maafisa waliozembea kutekeleza kikamilifu zoezi la uhakiki wa watumishi hewa.



Maafisa waliozembea zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wasimamishwa kazi Maafisa waliozembea zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wasimamishwa kazi Reviewed by Zero Degree on 9/12/2017 08:30:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.