Loading...

Rais Magufuli achangia mifuko 400 ya Saruji na milioni 5 za ujenzi wa Kanisa la Wasabato Dar

Rais Magufuli na mkewe, Mama Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wa Kanisa hilo kusali Ibada ya Sabato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, leo wameungana na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Usharika wa Magomeni Mwembechai kusali katika Ibada ya Sabato.


Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepiga magoti wakati wakiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni
Rais Magufuli na mkewe waakikabidhi mifuko 400 ya saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa hilo
Rais Magufuli achangia mifuko 400 ya Saruji na milioni 5 za ujenzi wa Kanisa la Wasabato Dar Rais Magufuli achangia mifuko 400 ya Saruji na milioni 5 za ujenzi wa Kanisa la Wasabato Dar Reviewed by Zero Degree on 9/02/2017 08:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.