Loading...

Serikali yalifungia gazeti la MwanaHalisi kwa miaka miwili


SERIKALI kupitia Idara ya Habari Maelezo, imelifungia gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili kuanzia leo Jumanne, Septemba 19, 2017 likidaiwa kukithiri kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaluma hiyo.


Serikali yalifungia gazeti la MwanaHalisi kwa miaka miwili Serikali yalifungia gazeti la MwanaHalisi kwa miaka miwili Reviewed by Zero Degree on 9/19/2017 03:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.