Loading...

Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni afariki dunia

Muhingo Rweyemamu enzi za uhai wake
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamua mefariki dunia leo Jumamosi, Septemba 2.

Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na aliyekuwa Mwenyekiti Jukwaa la Wahahariri Tanzania, ambaye pia alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu, Absalom Kibanda.

Katika utumishi wake, Muhingo Rweyemamu aliwahi pia kuwa mkuu wa wilaya za Morogoro, Makete na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited.

Endelea kufuatilia habari za ukurasa huu kwa taarifa zaidi zinazo husu msiba huo
Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni afariki dunia Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 9/02/2017 06:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.