Loading...

Video: Tazama ngoma mpya ya Rayvanny - 'Unaibiwa'


Mkali kutotoka kundi la WCB ameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la 'UNAIBIWA'. Ngoma imetengenezwa na Producer lizerclassic kutoka Tanzania na video yake imefanyiwa Johannesburg, Afrika Kusini na Dar es salaam, Tanzania.

Kuitazama ngoma hiyo bofya hapo chini kisha usisahau kuacha maoni yako kumsaidia msanii wetu ajue jinsi gani mashabiki wameipokea nyimbo yake:

Video: Tazama ngoma mpya ya Rayvanny - 'Unaibiwa' Video: Tazama ngoma mpya ya Rayvanny - 'Unaibiwa' Reviewed by Zero Degree on 9/15/2017 01:44:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.