Loading...

Watu 10 wamefariki kwenye ajali ya ndege DRC

Picha ya ndege hiyo ya jeshi iliyoanguka
Ndege ya kijeshi imeanguka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuwaua abiria wote.

Maafisa wa maswala ya angani wamesema kuwa zaidi ya watu 10 wamefariki baada ya ndege hiyo kufeli kupaa vizuri kutoka uwanja wa ndege wa N'djili katika mji mkuu wa Kinshasa na kuanguka katika makaazi ya Nsele.

Haijabainika iwapo kuna watu wowote waliouawa ama kujeruhiwa ardhini.

Mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Kinshasa amesema kuwa ndehe hiyo ilikuwa ikibeba mizigo na kwamba haikuwa na abiria wowote.

Ripoti nyengine zinasema kuwa baadhi ya wanajeshi waliuawa.
Watu 10 wamefariki kwenye ajali ya ndege DRC Watu 10 wamefariki kwenye ajali ya ndege DRC Reviewed by Zero Degree on 9/30/2017 06:47:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.