Loading...

Kikosi cha wachezaji 24 wa Taifa Stars watakaokipiga dhidi ya Benin


Leo Jumanne kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 24 ambacho kitacheza na timu ya taifa ya Benin Novemba 11 ya mwaka huu.


Kikosi hicho kilichotangazwa na mwalimu Mayanga ni pamoja na magolikipa Aishi Manula, Peter Manyika na Ramadhan Kambwili.

Mabeki ni Gadiel Michael, Boniphace Maganga, Abdi Banda, Kelvin Yondani, Dickson Job, Erasto Nyoni na Nurdin Chona.

Wakati huo huo viungo waliochaguliwa ni pamoja na Himid Mao, Hamis Abdallah, Mzamiru Yasin, Raphael Daud, Simon Msuva, Shiza Kichuya, Farid Mussa, Ibrahim Ajib, Mohammed Issa na Abdul Mohammed.

Aidha washambuliaji ni Mbaraka Yusuph, Yohana Mkomola, Mbwana Samatta na Elias Maguli.
Kikosi cha wachezaji 24 wa Taifa Stars watakaokipiga dhidi ya Benin Kikosi cha wachezaji 24 wa Taifa Stars watakaokipiga dhidi ya Benin Reviewed by Zero Degree on 10/24/2017 10:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.