Loading...

CCM yachukua kata nne Jimboni kwa Joshua Nassari


KATIKA Matokeo ya Uchaguzi mdogo uliofanyika katika kata 43 nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki (ambalo ni jimbo la Mbunge Joshua Nassari wa Chadema) ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa.

Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.

Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287. Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.
CCM yachukua kata nne Jimboni kwa Joshua Nassari CCM yachukua kata nne Jimboni kwa Joshua Nassari Reviewed by Zero Degree on 11/27/2017 10:25:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.