Loading...

Kichuya 'awapigia saluti' wachezaji hawa wa Yanga SC


LICHA ya winga wa Simba, Shiza Kichuya kuwafunga Yanga misimu miwili mfululizo, amewataja Kelvin Yondan na Andrew Vicent 'Dante'kuwa ni mabeki mwiba na kuwafanya washambuliaji wawe na nafasi finyu ya kuwafunga.

Alifafanua kwamba kuwataja mabeki hao haina maana kwamba wengine si wazuri, lakini Yondan, Dante na Moris ni mabeki ambao hawapendi kuchezea mipira eneo la hatari zaidi ya kuipigia mbele ili iwakute viungo wao na kupeleka mashambulizi kwa wapinzani.
Kichuya 'awapigia saluti' wachezaji hawa wa Yanga SC Kichuya 'awapigia saluti' wachezaji hawa wa Yanga SC Reviewed by Zero Degree on 11/08/2017 07:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.