Loading...

Lawrence Masha ajivua uanachama Chadema

Lawrence Masha
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine.

Masha, pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.

Isome barua yake hapo chini:


Lawrence Masha ajivua uanachama Chadema Lawrence Masha ajivua uanachama Chadema Reviewed by Zero Degree on 11/14/2017 07:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.