Loading...

Spika wa Bunge atangaza Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mheshimiwa Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kumfahamisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Ndg. Lazaro S. Nyalandu kufutwa uanachama na Chama cha Mapinduzi.


Spika wa Bunge atangaza Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi Spika wa Bunge atangaza Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi Reviewed by Zero Degree on 11/03/2017 05:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.