Loading...

Hussein Bashe awaomba radhi Watanzania


Mbunge wa Nzega Mjini, kwa tiketi ya (CCM) Hussein Bashe amefunguka na kuwaomba radhi baadhi ya wananchi wa Nzega na Watanzania mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine amewakwaza mwaka huu katika utekelezaji wa majukumu yake.

Bashe amesema hayo kupitia mitandao yake ya kijamii ambapo anatuma salamu za heri ya sikukuu kwa wananchi na watanzania na kudai kuwa wamsamehe pale ambapo amewakosea katika utekelezaji wa majukumu yake ya kibunge.

Hussein Bashe awaomba radhi Watanzania Hussein Bashe awaomba radhi Watanzania Reviewed by Zero Degree on 12/25/2017 07:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.