Loading...

Mkurugenzi Mkuu wa NHC atumbuliwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw. Nehemia Mchechu na wenzake ili kupisha uchunguzi.

Nehemia Mchechu

Mkurugenzi Mkuu wa NHC atumbuliwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC atumbuliwa Reviewed by Zero Degree on 12/17/2017 09:49:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.