Loading...

Mamlaka ya Hali ya Hewa [TMA] yatoa tahadhari


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetoa tahadhari ya upepo mkali maeneo ya Pwani kuanzia tarehe 7 na tarehe 8 upepo mkali unaozidi kasi ya KM 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanazidi Mita 2.1.

Soma taarifa kamili:


Mamlaka ya Hali ya Hewa [TMA] yatoa tahadhari Mamlaka ya Hali ya Hewa [TMA] yatoa tahadhari Reviewed by Zero Degree on 1/06/2018 07:42:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.