Loading...

Aishi Manula afunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi


Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Aisha.

Manula hakwenda Zanzibar ambako Simba inashiriki michuano ya Kombe la Mapinzudi ili kukamirisha kazi hiyo ya kuuaga ukapera.

Taarifa zinaeleza, Aishi na Aisha wamekuwa wapenzi wa siku nyingi.
Aishi Manula afunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Aishi Manula afunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Reviewed by Zero Degree on 1/06/2018 07:16:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.