Polisi wazuia mkutano wa Zitto Kabwe Kigoma
![]() |
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe |
Zitto amelalamikia hatua hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akitumia ‘Lugha Ya Malkia’ kufikisha ujumbe
” Police Tanzania has banned a public meeting that I was to hold today as a member of parliament in my own constituency contrary to parliamentary powers and privileges act s.4(1) that MANDATORILY give me that freedom”
![]() |
Ujumbe ambao Zitto kwenye alichapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter |
Polisi wazuia mkutano wa Zitto Kabwe Kigoma
Reviewed by Zero Degree
on
1/16/2018 06:30:00 PM
Rating:
