Loading...

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Rais Kenyatta kufuatia ajali ya barabarani


Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali iliyosababisha watu takribani 36 kupoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na lori katika barabara ya Nakuru – Eldoret nchini Kenya.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Rais Kenyatta kufuatia ajali ya barabarani Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Rais Kenyatta kufuatia ajali ya barabarani Reviewed by Zero Degree on 1/01/2018 10:52:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.