Loading...

Serikali yavunja mkataba na Wakala wa Majengo [TBA]

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo (TBA) baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu ujenzi wa majengo ya Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Butiama na halmashauri mpya Wilaya ya Butiama mkoani Mara.

Wiki iliyopita kuwa wakala huyo wa majengo alipewa onyo na Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako baada ya kusuasua kuanza mradi wa Ujenzi wa Madarasa, Ofisi za Chuo Kikuu cha Muhimbili Kampasi ya Mloganzila huku wakiwa wamepewa fedha na Serikali tayari.
Serikali yavunja mkataba na Wakala wa Majengo [TBA] Serikali yavunja mkataba na Wakala wa Majengo [TBA] Reviewed by Zero Degree on 1/24/2018 02:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.