Loading...

Arusha: Madiwani wengine wawili Chadema watimkia CCM

Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha waliohama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia cha Maendeleo (Chadema) Moani Arusha wamekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kati ya Madiwani hao, mmoja ni wa kata ya Daraja Mbili, Prosper Msofe na mwingine ni wa kata ya Terrat, Obeid Meng’oriki, wamejiuzulu na kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile walichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.
Arusha: Madiwani wengine wawili Chadema watimkia CCM Arusha: Madiwani wengine wawili Chadema watimkia CCM Reviewed by Zero Degree on 2/21/2018 12:10:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.