Loading...

Rais Magufuli awasili Uganda, akutana na kufanya mazungumzo na Museveni


Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasili nchini Uganda ambapo atahudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Februari, 2018 Mjini Kampala.

Baada ya kuwasili amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.


Rais Magufuli awasili Uganda, akutana na kufanya mazungumzo na Museveni Rais Magufuli awasili Uganda, akutana na kufanya mazungumzo na Museveni Reviewed by Zero Degree on 2/21/2018 11:45:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.