Loading...

TCRA yafungia nyimbo 15 za wasanii mbalimbali, akiwemo Diamond, Nay Wa Mitego na Roma


Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa watakaokiuka.



TCRA yafungia nyimbo 15 za wasanii mbalimbali, akiwemo Diamond, Nay Wa Mitego na Roma TCRA yafungia nyimbo 15 za wasanii mbalimbali, akiwemo Diamond, Nay Wa Mitego na Roma Reviewed by Zero Degree on 2/28/2018 07:08:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.