Loading...

Twiga Stars kucheza dhidi ya Zambia mwezi April


Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inataraji kucheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake, zitakazochezwa nchini Ghana baadaye mwaka huu.

Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10, 2018.

Mchezo huo utakuwa ni wa raundi ya kwanza.
Twiga Stars kucheza dhidi ya Zambia mwezi April Twiga Stars kucheza dhidi ya Zambia mwezi April Reviewed by Zero Degree on 2/27/2018 10:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.