Loading...

Watumishi 91 wametimuliwa kazi Serikalini kwa kufadhili uvuvi haramu


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mpina amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo anayeshughulikia uvuvi pamoja na wakurugenzi wote wa halmashauri za wilaya katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwafuta kazi watumishi 91 ambao wamebainika kufadhili uvuvi haramu.

Luhanga Mpina ametoa maagizo hayo kuwa watumishi 65 na viongozi wa Kamati za usimamizi wa raslimali za uvuvi 26 waondolewe kazini kufuatia kubainika kushiriki katika kuwafadhili wavuvi haramu katika Ziwa Victoria.
Watumishi 91 wametimuliwa kazi Serikalini kwa kufadhili uvuvi haramu Watumishi 91 wametimuliwa kazi Serikalini kwa kufadhili uvuvi haramu Reviewed by Zero Degree on 2/12/2018 02:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.