Loading...

Baada ya ngoma zake 3 kufungiwa, ...Nay Wamitego aja na ‘Amsha Popo’


Baada ya kufungiwa ngoma tatu na BASATA, Nay Wamitego ameachia wimbo mpua unaoitwa ‘Amsha Popo’. Wimbo huo umetayarishwa na Awesome (Osam) katika studio za Free Nation.

Baada ya ngoma zake 3 kufungiwa, ...Nay Wamitego aja na ‘Amsha Popo’ Baada ya ngoma zake 3 kufungiwa, ...Nay Wamitego aja na ‘Amsha Popo’ Reviewed by Zero Degree on 3/26/2018 03:14:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.