Loading...

Breaking News: Mwenyekiti UVCCM Taifa atengua uteuzi wa Jokate Mwegelo

Aliyekuwa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa, Jokate Mwegelo
Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti UVCCM, Kheri James imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi-UVCCM Taifa, Jokate Mwegelo kuanzia leo Machi 25, 2018.

Jokate atabaki kuwa mwanachama wa kawaida na nafasi yake itajazwa baadae. Hakuna sababu iliyotolewa juu ya kutengua uteuzi huo.
Breaking News: Mwenyekiti UVCCM Taifa atengua uteuzi wa Jokate Mwegelo Breaking News: Mwenyekiti UVCCM Taifa atengua uteuzi wa Jokate Mwegelo Reviewed by Zero Degree on 3/25/2018 10:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.