Loading...

Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa [UEFA] iko hapa


Ijumaa ya leo, tarehe 16 Machi, 2018 droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa imeanyika, huku Real Madrid, Bayern Munich na Manchester City zikiwa miongoni mwa timu zilizohusika.

Mechi za kwanza zitachezwa terehe 3 na 4 mwezi Aprili, na kurudiwa wiki moja baada ya hapo tarehe 10 na 11 Aprili.

Hapa chini ni droo kamili ya Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa:
  • Barcelona Vs Roma
  • Sevilla Vs Bayern Munich
  • Juventus Vs Real Madrid
  • Liverpool Vs Manchester City
Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa [UEFA] iko hapa Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa [UEFA] iko hapa Reviewed by Zero Degree on 3/16/2018 02:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.