Loading...

Johari kutinga bungeni 2020


Blandina Chagula maarufu Johari mwanadada ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya maigizo na filamu nchini ameweka wazi kuwa ana mpango wa kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Johari ambaye kwasasa ni mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni ya filamu ya RJ huku yeye akiwa hashiriki sana kwenye filamu kwasasa kama muigizaji amefunguka kuwa muda ukifika ataeleza nia yake.

Kwa mujibu wa taariafa ya EATV, Johari alisema: ''Nina mpango wa kugombe Ubunge, nia ninayo ila ni vitu ambavyo vipo kwenye mchakato na vikiwa tayari nitaviweka wazi.''

Zaidi soma Hapa.
Johari kutinga bungeni 2020 Johari kutinga bungeni 2020 Reviewed by Zero Degree on 3/08/2018 06:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.