Loading...

Naibu Waziri Mavunde amelazwa Morogoro

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavundeakiwa kalala kitandani Hospitali ya Mkoa wa Morogoro
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali.

Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia Jumapili baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu.
Naibu Waziri Mavunde amelazwa Morogoro Naibu Waziri Mavunde amelazwa Morogoro Reviewed by Zero Degree on 3/18/2018 03:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.