Loading...

Rais Magufuli amteua IGP Mangu kuwa Balozi Rwanda


Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi. Mabalozi wateule hao wataapishwa kesho Machi 21, 2018, Ikulu jijini Dar.


Rais Magufuli amteua IGP Mangu kuwa Balozi Rwanda Rais Magufuli amteua IGP Mangu kuwa Balozi Rwanda Reviewed by Zero Degree on 3/20/2018 03:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.